Asimenye Simwaka

Mwanasoka na mwanariadha wa Malawi

Asimenye Simwaka, (alizaliwa 8 Agosti 1997) ni mwanariadha na mwanasoka wa nchini Malawi, ambae anacheza kama mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi.[1]

Asimenye Simwaka
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 8 Agost 1997
Mahala pa kuzaliwa    Malawi
Nafasi anayochezea Mshambuliaji

* Magoli alioshinda

Riadha

hariri

Simwaka alishiriki katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020 huko Tokyo, akiwa mwanariadha pekee wa Malawi kufanya hivyo.[2]

Mpira wa miguu

hariri

Simwaka amechezea klabu ya Topik ya nchini Malawi.[3]

Ushirki Kimataifa

hariri

Simwaka amechezea Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi katika misimu mitatu ya michuano ya Kombe la Wanawake la COSAFA (2019, 2020 na 2021)[4]

Marejeo

hariri
  1. Maona, Benjamin. "Female football star conquers athletics", 16 February 2020. Retrieved on 30 July 2021. Archived from the original on 2023-03-13. 
  2. "Athletics SIMWAKA Asimenye - Tokyo 2020 Olympics". Olympics.com/tokyo-2020/. Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Iliwekwa mnamo 2021-07-30.
  3. "Malawi recall Chawinga duo for Kenya Olympic test", 25 August 2019. Retrieved on 30 July 2021. 
  4. "Chawinga hits six as Malawi earn 9-0 win at COSAFA Women's Championship", 7 November 2020. Retrieved on 30 July 2021. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asimenye Simwaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.