8 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 8 Agosti ni siku ya 220 ya mwaka (ya 221 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 145.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Dominiko Guzman, Sekundi, Karpofori na wenzao, Siriaki, Largi na wenzao, Marino wa Tarso, Eusebi wa Milano, Severo wa Vienne, Emiliani wa Kuziko, Paulo Ke Tingzhou, Bonifasia Rodriguez, Maria wa Msalaba MacKillop n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 8 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.