Askia Mashuhuri
Askia Mashuhuri (anaitwa pia: Askia Mohammad I au Muhammad Ture; 1443-1538) alikuwa mtawala wa Dola la Songhai katika Afrika ya Magharibi.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Askia Mashuhuri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |