Asmahan

Mwimbaji na Mwigizaji maarufu wa Syrian (1918-1944) aliejipatia umaarufu nchini Misri

Amal al-Atrash (Novemba 25, 1912 – Julai 14, 1944),[1] anaye julikana zaidi kwa jina lake laAsmahan ni mwimbaji wa nchini Syria aliyeishi na umaarufu wake kukuwa nchini ya Misri.[2] walihamia nchini Misri pamoja na familia yao akiwa na umri wa miaka mitatu, familia yake walikuwa wakifahamiana na mtunzi Dawood Hosni,lakini pia na yeye alikuwa akiimba nyimbo za Mohamed El Qasabgi pamoja na Zakariyya Ahmad.[3][4] pia alikuwa akiimba nyimbo za mtunzi Mohammed Abdel Wahab pamoja na Farid al-Atrash, ni mwanamuziku nyota anaye chipukia kupitia njia zake mwenyewe . sauti yake ilikuwa mojawapo ya sauti chache zilizo kutokea katika ulimwengu wa muziki wa kiarabu na kuleta ushindani mkubwa na sauti ya Umm Kulthum,[5] Anaye julikana kama mwimbaji maarufu zaidi katika ulimwengu wa kiarabu wa karne ya 20 .[6] Kifo chake cha ajabu katika ajali ya gari kilishtua umma. Waandishi wa habari walieneza uvumi kuhusu maisha yake ya kibinafsi yenye misukosuko na jukumu linalodaiwa kuwa la ujasusi katika Vita vya pili ya dunia ..


Amezaliwa Amal al-Atrash
Novemba 25 1912
Syria
Amekufa julai 14 1944
Mansoura,Misri
Jina lingine Asmahan
Kazi yake Mwimbaji,mwigizaji
Miaka ya kazi 1931-1944
'Alia na watoto wake baada ya kuwasili Misri
'Alia na watoto wake baada ya kuwasili Misri
Asmahan
Asmahan

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asmahan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "منزل الفنانة أسمهان بات متحفاً" Archived 2013-01-11 at Archive.today, Al-Mada
  2. Samy Swayd (10 Machi 2015). Historical Dictionary of the Druzes. Rowman & Littlefield Publishers. uk. 57. ISBN 978-1-4422-4617-1.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Lebanese Army Journal, Issue Number 241, July 2005". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-11. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. al-Atrash, Majid (2005), Asmahan: Amirat at-tarab was-saif wan-nada (Asmahan: The princess of music, war and grace) al-'Adyat magazine, p.75–77, in Arabic
  5. Zuhur 2000, p. 85
  6. Prominent Egyptians - Egyptian Government State Information Service