Association Nationale des Guides de Guinée

Shirika la Skauti Wasichana Guinea ni shirikisho la Skauti Wasichana nchini Guinea,hadi kufika 2018 shirikisho hili lilikuwa na wanachama 4,889.[1] Mwaka 2014 shirikisho hili lilitambuliwa rasmi na kuwa mwanachama wa chama cha Skauti wa Kike Duniani.

Marejeo hariri

  1. "Member Organisation - Guinea". Iliwekwa mnamo January 31, 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)