Arteri mapafu

(Elekezwa kutoka Ateri ya mapafu)

Arteri mapafu ni aina ya arteri inayosafirisha damu isiyo na oksijeni kutoka kwenye moyo kwenda kwenye mapafu.

Mshipa wa arteri mapafu
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arteri mapafu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.