Atnafu Abate
Lieutenant Colonel Atnafu Abate (31 Januari 1931 – 12 Novemba 1977) alikuwa afisa wa jeshi wa Ethiopia na mmoja wa viongozi wakuu wa Derg, baraza la kijeshi lililomwondoa madarakani Mfalme Haile Selassie na kutawala nchi kwa miaka kadhaa.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Yimam, Mohamed (2013). Wore Negari (kwa Kiingereza). Xlibris Corporation. ISBN 978-1-4836-9896-0.
- ↑ Yodfat, Aryeh Y. (1980). "The Soviet Union and the Horn of Africa". Northeast African Studies. 2 (2): 65–81. ISSN 0740-9133. JSTOR 43660042.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Atnafu Abate kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |