Atutur Town
Atutur ni mji ulioko katika mkoa wa mashariki nchini Uganda.
Mahali
haririMji upo barabara ya Tirinyi-Pallisa kupitia Kamonkoli – katika Parokia ya Atutur, Wilaya ya Kumi, takriban kilomita 22 (maili 14) kusini mashariki mwa Mji wa Kumi, ambapo makao makuu ya wilaya yanapatikana.[1] Atutur iko takribani kilomita 48 kaskazini magharibi mwa Mbale, mji mkubwa ulio karibu zaidi .[2] ikiwa na majiranukta (01°19'25.0"N, 33°53'18.0"E (Latitudo:1.323605; Longitudo:33.888341))
Marejeo
hariri- ↑ GFC (13 Mei 2016). "Distance between Atutur, Eastern Region, Uganda and Kumi, Eastern Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 13 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ GFC (13 Mei 2016). "Distance between Mbale, Eastern Region, Uganda and Atutur, Eastern Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 13 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Atutur Town kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |