Aubin-Thierry Goporo
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Aubin-Thierry Goporo (alizaliwa tarehe 15 mei 1968) ni kocha wa mpira wa kikapu Afrika ya kati pia alikuwa mchezaji apo awali ambaye ni mkurugenzi wa maendeleo timu ya wanafunzi ,Tennessee Volunteers basketball team. Alicheza mpira wa kikapu chuoni Florida Tech Panthers na kihitimu mwaka 1996.Goporo alikuwa kaitka timu ya taifa ya kikapu Jamhuri ya Afrika ya kati iliyo shiriki Olimpiki mwaka 1988, alikuwa kocha wa mwaka 2015 kwanye mashindano ya FIBA Afrika.
Ni kaka wa mchezaji wa mpira wa kikapu na kocha Frédéricque Rufin Goporo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aubin-Thierry Goporo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |