Aurangabad, Maharashtra

Aurangabad, Maharashtra ni jiji la jimbo la Maharashtra nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.2 (2011). Ni mji mkubwa wa thelathini na tatu nchini Uhindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aurangabad, Maharashtra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.