Aya Tarek

Mchoraji barabarani wa kimisri

Aya Tarek ni msanii kutoka jiji la Aleksandria nchini Misri. [1]

Aya Tarek
Nchi Misri
Kazi yake msanii


Aya tarek ni msanii kutoka jiji la Alexandria nchini Misri.

Sanaa zake zimehusiana na sanaa za mitaani au graffiti na upakaji rangi. Japokuwa sanaa za mitaani nchini Misri zilipata umaarufu mkubwa wa kimataifa baada ya mapinduzi ya Misri ya mwaka 2011, Tarek alianza kuchangia sanaa za mitaani kwenye kuta za jiji la Alexandria mnamo mwaka 2008, alipokuwa na miaka 18.

Tarek pia alianza kutoa michoro ya ndani ambayo ilimfanya ajihisi amechukuliwa kama msanii mwenye uwezo mkubwa sana. Japokuwa alikuwa mara kwa mara akiongelea kuhusu umuhimu wa sanaa za mitaani kwamba ilimfikia yeyote aliyetaka kuchukua chochote kutoka kwenye kazi hiyo.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Aya Tarek". Khatt Foundation. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Taking it to the Streets". REORIENT - Middle Eastern Arts and Culture Magazine (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2016-03-06. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aya Tarek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.