Ayakha Melithafa

Mwanaharakati wa mazingira kutoka Afrika Kusini

Ayakha Melithafa (alizaliwa mwaka 2003 [1]) ni mwanaharakati wa mazingira.[2][3][4][5]

Ayakha Melikhafa, 2020.

Maisha ya awali na elimuEdit

Melithafa anatokea katika eneo la mto Eersten, Cape ya magharibi, mji mdogo wa Cape Town.[6]

Kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo cha sayansi na teknolojia huko Khayelitsha.[7]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayakha Melithafa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.