Ayoub El Amloud (Kiarabu: أيوب العملود‎; alizaliwa 8 Aprili 1994) ni mchezaji wa soka kutoka Moroko anayecheza kama beki wa kulia katika timu ya Wydad AC.[1]

Kimataifa hariri

Alianza kuichezea timu ya taifa ya Morocco tarehe 8 Juni 2021 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Ghana. Alicheza kwa dakika 86 kabla ya kubadilishwa katika ushindi wa 1-0.[2]

Marejeo hariri

  1. "Ayoub El Amloud". footballdatabase.eu. 
  2. "Morocco v Ghana game report". ESPN. 8 June 2021.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayoub El Amloud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.