Aysanabee
Aysanabee ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo jamii ya Oji-Cree kutoka Kanada, ambaye albamu yake ya kwanza *Watin* ilitolewa mwaka wa 2022.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Jonathan Ore, "Aysanabee's pandemic phone calls with his grandfather inspired his debut album". Unreserved, November 4, 2022.
- ↑ Lynn Saxberg, "Meet Aysanabee, the first artist signed to Ottawa-based Indigenous label". Ottawa Citizen, November 4, 2022.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aysanabee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |