Azadi ni uwanja wa soka unaopatikana huko Tehran, mji mkuu wa Iran. Ndio uwanja wa nyumbani wa soka wa timu ya taifa ya Iran.

Uwanja wa Azadi.

Una uwezo wa kuchukua watazamaji 100,000, ingawa umeweza kutumikia wengi zaidi wakati wa mechi maalum.

Uwanja huu una sehemu ya mafunzo ya mpira wa miguu, vituo vya kuogelea na uwanja wa volleyball na michezo mingineyo.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Azadi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.