Timu ya taifa
timu inayowakilisha taifa katika mchezo
Timu ya taifa (kwa Kiingereza: national sports team, national team au national side) ni kundi la wachezaji wanaowakilisha taifa lao, si klabu wala eneo fulani, katika michezo ya kimataifa.
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- media kuhusu National sports teams pa Wikimedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Timu ya taifa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |