Aziz Ali

bondia wa Kenya

Aziz Ali (alizaliwa 15 Septemba 1980) ni bondia kutoka nchi ya Kenya ambaye alifuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 katika uzito wa "Light-Heavyweight" katika mchuano wa kufuzu kushiriki katika Olimpiki ya mwaka wa 2008 ya AIBA ya 2 licha ya kubanduliwa nje ya mchuano huo na bondia Bastie Samir katika pambano lake la mwisho.

Katika Olimpiki alipoteza mechi yake ya kwanza kwa pointi 3:8 kwa Turk Bahram Muzaffer.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aziz Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.