Baía de Santa Marta

Mnara wa taa

Baia de Santa Marta (inajulikana pia kama Baía das Luciras au Espiegle Bay), ni hori inayopatikana nchini Angola[1] kwenye jimbo la Namibe .

Ramani ya kijografia ya angola

Jiografia hariri

Baia de Santa Marta ni hori inayopatikana kwenye Bahari ya Atlantiki iliyoko pembezoni mwa pwani ya nchi ya Angola. Ina urefu wa kilomita 10 kwenda mashariki na kusini. Hori hiyo inakaribiana na mji mdogo kaskazini magharibi mwa Lucira ulioko pwani. Makao makuu ya kaskazini ni "Ponta da Bissonga" na mashariki "Ponta Branca".[1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Baia de Santa Marta". Mapcarta. Iliwekwa mnamo 12 October 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Baía de Santa Marta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.