Baba Krismasi

Baba Krismasi akisikiliza watoto wanatamani nini kwa sikukuu ya Noeli.

Baba Krismasi ni mtu wa kufikirika anayedhaniwa kuleta zawadi hasa kwa watoto wema usiku wa Noeli.

Asili yake ni mtu halisi, mtakatifu Nikolasi wa Myra, askofu aliyejulikana kwa ukarimu wake. Ndiyo sababu kwa kawaida kwa Kiingereza anaitwa Santa Claus (yaani Mtakatifu Nikolaus).

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Marejeo mengineEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baba Krismasi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.