Babu Tale

Mbunge wa Tanzania

Hamisi Shaban Taletale, pia anajulikana kama Babu Tale ( 31 Desemba 1982), ni meneja wa vipaji na mwanasiasa kutoka Tanzania kwa sasa anahudumu kama mbunge wa chama cha mapinduzi katika eneo bunge la Morogoro kusini tangu Novemba 2020.[1][2] Ni mwanzilishi mwenza wa lebo ya muziki ya WCB Wasafi.

Marejeo

hariri
  1. "Mwana FA and Babu Tale cleared to vie for parliamentary seats".
  2. "Meneja Babu Tale imebidi ayaseme haya kuhusu kauli ya Diamond kupitisha video MTV BASE – Millardayo.com".