Badi Aouk (alizaliwa 29 Machi 1995) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye kwa sasa anacheza katika timu ya Wydad AC kama mshambuliaji upande wa kulia (winger).

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Badie Aouk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.