Badmon de Ezzy ni kijana muigizaji wa filamu kutoka Tanzania anayemiliki majumba na magari ya fahari huko Marekani.

Badmon anapenda michezo mbalimbali, kama vile mpira wa miguu, mpira wa pete na michezo mingine mingi.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Badmon de Ezzy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.