Bahari ya Solomon
Bahari ya Solomon ni sehemu ya Bahari Pasifiki iliyopo kati ya Papua Guinea Mpya na Visiwa vya Solomon.
Bahari ya Solomon inajumuisha mfereji wa New Britain unaofikia kina cha zaidi ya mita 9,140 chini ya usawa wa bahari. [1]
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia yalitokea mapigano mengi katika sehemu hiyo.
Marejeo
hariri- ↑ "Solomon Sea". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)