Mto Bahr al-Ghazal

(Elekezwa kutoka Bahr al-Ghazal)

Mto Bahr el Ghazal (pia: Bahr al Ghazal na Baḩr al Ghazāl; kwa Kiarabu: بحر الغزال, maana yake "mto wa swala") unapatikana Sudan Kusini.

Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa 716 kilometres (445 mi), ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.[1]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Bahr al-Ghazal. Encyclopædia Britannica Online Library Edition. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.

Viungo vya njeEdit

Coordinates: 9°31′N 30°25′E / 9.517°N 30.417°E / 9.517; 30.417