Urefu katika vipimo vya kijiometri ni kipimo cha kitu kilichozidi kuliko vipimo vyake vingine.

Urefu wa kilomita moja ni sawa na maili 0.62137.

Katika Mfumo wa Kimataifa wa Vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali. Katika mazingira mengine "urefu" ni kipimo cha kitu. Kwa mfano, inawezekana kupunguza urefu wa waya ambao ni mfupi kuliko unene.

Urefu unaweza kutofautishwa na kimo, ambayo ni kiasi wima, na upana, ambao ni umbali kutoka upande hadi upande.

Urefu ni kipimo cha mwelekeo mmoja, ambapo eneo ni kipimo cha vipimo mbili (urefu mraba) na ujazo ni kipimo cha vipimo vitatu (urefu cubed).

Katika mifumo mingi ya kipimo, urefu ni kipimo cha msingi, ambacho vile vingine vinatokana nacho.

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Urefu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.