Bahr al-Ghazal Kaskazini

Bahr al Ghazal Kaskazini lilikuwa jimbo la Sudan. Kwa sasa ni jimbo la Sudan Kusini.

Ramani ya Barh al Ghazal Kaskazini.
Kituo cha Malual

Ina eneo la km2 30,543. [1][2]

Usimamizi

hariri

Bahr al Ghazal ya Kaskazini, kama majimbo mengine nchini Sudan Kusini, imegawanywa katika kaunti; kuna kaunti tano, zinazoongozwa na Kamishna wa Kaunti.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahr al-Ghazal Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.