Banda Ahenkro ni mji wa Jamhuri ya Ghana, mkoa wa Bono.

Baraza la Kimila la Banda wakiwemo wazee wa kiume na wa kike wakiwa wamevalia nguo za kitamaduni za rangi za Kighana. Picha hii ilipigwa Juni 2019.
Baraza la Kimila la Banda wakiwemo wazee wa kiume na wa kike wakiwa wamevalia nguo za kitamaduni za rangi za Kighana. Picha hii ilipigwa Juni 2019.

Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 5,267[1]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "World Gazetteer online". World-gazetteer.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-11.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Banda Ahenkro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.