Bandundu (mji)

Bandundu (zamani Banningville au Banningstad) ni mji wa mkoa wa Mai-Ndombe, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Ziwa Maï Ndombe katika Mji wa Bandundu

Makadirio ya idadi ya watu ni 143,435 (2012)[1].

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population. World Gazetteer. Iliwekwa mnamo January 21, 2009.

Coordinates: 03°19′00″S 17°22′0″E / 3.31667°S 17.36667°E / -3.31667; 17.36667

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bandundu (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.