Bangalore
Bangalore ni jina la mji mkuu wa jimbo la Karnataka katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 920 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Bangalore | |
Mahali pa mji wa Bangalore katika Uhindi |
|
Majiranukta: 12°58′0″N 77°34′0″E / 12.96667°N 77.56667°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Karnataka |
Wilaya | Bangalore Mjini (Bangalore Urban) |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,840,155 |
Tovuti: www.bbmp.gov.in |
Viungo vya nje
hariri- (Kiingereza) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 25 Februari 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bangalore kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |