Banggai ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Peleng. Eneo la kisiwa ni 260 km². Watu wakaao kisiwani kwa Banggai huongea Kibanggai.

Monumen_Raja_Banggai
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.