Banuelia Mrashani

Banuelia Mrashani (alizaliwa 14 Novemba 1977) ni Mtanzania aliyeshiriki mashindano ya mbio ya masafa marefu.

Mwaka 2004 alishindana katika Marathon ya wanawake ya Olimpiki za majira ya joto.[1]

TanbihiEdit

  1. https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/mr/banuelia-mrashani-1.html |title=Banuelia Mrashani Olympic Results |accessdate=30 May 2017