Barafuto ya Credner

Barafuto ya Credner (kwa Kiingereza: Credner Glacier) ipo kwenye Mlima Kilimanjaro, Tanzania, ipo kaskazini magharibi mwa bonde kutoka kileleni na ni masalia ya barafu zilizokuwa zinafunika kilele cha mlima huo.[1]

Hii barafuto ipo kwenye mwinuko kati ya 5,800 na 5,500 mita(19,000 na 18,000) futi. Barafu ya credner ni moja barafu kubwa sana kwenye mlima na inashuka kutoka uwanja wa barafu wa kaskazini. Ilihifadhiwa 14 Mei 2023 kwenye Wayback Machine.

Marejeo

hariri
  1. "USGS Professional Paper 1386-G". pubs.usgs.gov. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barafuto ya Credner kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.