Baraawe

(Elekezwa kutoka Barawa)

Baraawe ni mji wa Somalia kusini.

Mji wa Baarawe

Idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa 42,800. Baadhi yao wanaongea Kiswahili (lahaja ya Chimbalanzi).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Baraawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.