Baraza la Sanaa Tanzania
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika Maalum lenye mwingiliano wa kiutendaji kati ya serikali na wadau wa sanaa ambalo liliundwa makhususi kwa lengo la kusimamia shughuli za sanaa nchini Tanzania, liliundwa kwa mujibu wa sheria Na. 23 ya 1984. Ni wakala wa Serikali katika kusimamia na kukuza shughuli za Sanaa.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti[1]
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baraza la Sanaa Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |