Bartholomeus van der Helst

Bartholomeus van der Helst (1613 - 1670) alikuwa mchoraji kutoka Uholanzi. Yeye alizaliwa katika mji wa Haarlem na alikufa mjini Amsterdam. Kati ya picha zake mashuhuri sana ni Gerard Andriesz Bicker.

Helst alivyojichora mwenyewe
Gerard Andriesz Bicker
Karamu ya asikari wa mji wa Amsterdam katika maadhimisho ya amani ya mji wa Münster
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bartholomeus van der Helst kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: