Beate Auguste Klarsfeld (alizaliwa 13 Februari 1939) ni mwandishi wa habari wa Ufaransa na Ujerumani na mpelelezi kuhusu chama cha Nazi.

Klarsfeld mwaka 2015

Pamoja na mume wake Mfaransa, Serge, walipata umaarufu kwa uchunguzi wa nyaraka za wahalifu wa kivita wa Nazi, wakiwemo Kurt Lischka, Alois Brunner, Klaus Barbie, Ernst Ehlers, na Kurt Asche.[1][2][2]

Marejeo

hariri
  1. Beate Klarsfeld: Wherever they may be, 1972, Seite 3–4, holocaust-history.org; accessed 12 March 2012.
  2. 2.0 2.1 Beate Klarsfeld: Wherever they may be, 1972, Seite 16 Archived 17 Julai 2011 at the Wayback Machine–21, holocaust-history.org; accessed 12 March 2017.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beate Klarsfeld kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.