13 Februari
tarehe
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Februari ni siku ya arubaini na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 321 (322 katika miaka mirefu).
MatukioEdit
- 1960 - Mlipuko wa bomu ya nyuklia ya kwanza ya Ufaransa
WaliozaliwaEdit
- 1599 - Papa Alexander VII
- 1910 - William Shockley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 1954 - Vijay Seshadri, mshairi kutoka Marekani
- 1955 - Castor Paul Msemwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
WaliofarikiEdit
- 1130 - Papa Honorius II
- 1818 - Mtakatifu Paulo Liu Hanzuo, padri mfiadini wa China
- 1883 - Richard Wagner, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Martiniano wa Kaisarea, Kastori wa Karden, Beninyo wa Todi, Stefano wa Lyon, Stefano wa Rieti, Gosbati, Gimer, Fulkrano, Gilbati wa Meaux, Paulo Liu Hanzuo, Paulo Le-Van-Loc n.k.
Viungo vya njeEdit
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 23 Juni 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |