Beatrice Singano

Mwanamke wa Tanzania

Beatrice Singano ni mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania[1]; pia aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya baraza la michezo Tanzania na Waziri Mwakyembe[2]

Beatrice Singano

Airtel Tanzania

utaifa Mtanzania
mhitimu wa shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Masuala ya Biashara
taaluma Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel
kamati Mjumbe baraza la michezo Tanzania(BMT)
dini Mkristo

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Singano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.