Bei inaweza kufafanuliwa namna tofauti. Pengine ufafanuzi rahisi ni kusema "bei ni thamani ya bidhaa au huduma".

Bei

Bei inaonyeshwa kwa bidhaa nyingine, huduma, au kwa pesa.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bei kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.