Isabelle "Belle" Gabriel Green Bigelow; (alizaliwa Februari 16, 1851), alikua mwanaharakati wa haki za wanawake.

BELLE G. BIGELOW

Alizaliwa katika shamba huko Gilead Township, Michigan mnamo februari 16 1851, ni mtoto wa Elijah C S Green (1825-1897) na Nancy M Green (1831-1861). Mama yake alikufariki wakati Belle alikuwa na umri wa miaka kumi.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Belle G. Bigelow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.