Michigan
Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa na Ziwa Superior, Ziwa Michigan, Ziwa Huron na Ziwa Erie. Imepakana na Kanada, Ohio, Indiana na Wisconsin.
Michigan | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Lansing | ||
Eneo | |||
- Jumla | 250,494 km² | ||
- Kavu | 147,121 km² | ||
- Maji | 103,372 km² | ||
Tovuti: http://www.michigan.gov/ |
Mji mkuu ni Lansing na mji mkubwa ni Detroit.
Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.
Viungo vya Nje
hariri
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Michigan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |