Bendera ya Monako

Bendera ya Monako ina milia miwili ya kulala ya nyekundu (juu) na nyeupe (chini). Rangi hizi mbili zimepatikana katika nembo ya familia ya Grimaldi tangu mwaka 1339.

Bendera ya Monako

Muundo wa bendera uliopo ulianzishwa rasmi mwaka 1881.

Bendera ya mtemi na serikaliEdit

Ofisi ya Mtemi na ofisi za serikali yake hutumia bendera inayoonyesha nembo la Monako.