Bengt Ingemar Samuelsson (amezaliwa 21 Mei 1934) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa anajulikana kwa kuchunguza tezi kibofu. Mwaka wa 1982, pamoja na Sune Bergström na John Vane alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Bengt Samuelsson
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bengt Samuelsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.