Beniamino Cavicchioni

Beniamino Cavicchioni (27 Desemba 183617 Aprili 1911) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Alikuwa mjumbe wa kipapa na alifanya kazi katika Roman Curia.[1]

Marejeo

hariri
  1. McNamara, Robert Francis (1956). The American College in Rome, 1855-1955. Christopher Press. ku. 251, 270.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.