Benjamin Flores Jr.

Benjamin Christopher Flores Jr [1] (pia anajulikana kama Lil 'P-Nut; amezaliwa Julai 24, 2002[2]) ni muigizaji mwenye umri mdogo na anayeimba nyimbo za kufoka.

Faili:Benjamin jr 1.jpg
Benjamin Flores jr munamo 2020

Katika muziki, anajulikana kwa wimbo wake, "Unaweza Kuwa Wewe" (You might be you). Kwa kuigiza, Flores alicheza kama mhusika mkuu kwa jina la Louie Preston kwenye sinema ya runinga ya Nickelodeon The Haunted Hathaways (2013-2015), na ameonekana kama Triple G kwenye sinema ya runinga ya Nickelodeon Game Shakers (2015-2019).

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Flores Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.