Benki ya Exim (Tanzania) (kifupi: EBT) ni benki ya biashara iliyopo Tanzania, ambayo ina uchumi mkubwa wa pili katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Benki hiyo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni benki kuu ya nchi na mdhibiti wa benki ya kitaifa.[1][2]

Marejeo hariri

  1. Bank of Tanzania (30 June 2017). Directory of Financial Institutions Operating In Tanzania As of 30 June 2017 (PDF). Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 2019-12-14.
  2. .bot.go.tz/BankingSupervision/Directory%20of%20Banks%20and%20Financial%20institutions%20operating%20in%20Tanzania%20_June%202017.pdf |format=PDF |title=Directory of Financial Institutions Operating In Tanzania As of 30 June 2017 | date=30 June 2017 |publisher=Bank of Tanzania |author=Bank of Tanzania |location=Dar es Salaam}}
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Exim kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.