Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania[1] (TADB) ni benki nchini Tanzania iliyojitolea kwa wakulima. [2] Serikali imeahidi kutoa dola milioni 500 (TSh 850 bn) kama mtaji.[3]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-19. Iliwekwa mnamo 2021-08-19. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-06. Iliwekwa mnamo 2021-08-19. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-05. Iliwekwa mnamo 2021-08-19. 
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.