Benki ya Zenith
Benki ya Zenith (ZETH.LG) ni benki iliyoko Nigeria katika kisiwa cha Victoria, Lagos. Kufikia Novemba 2007, ilikuwa kampuni kubwa zaidi nchini Nigeria na kwote Afrika Magharibi, ikiwa na mitaji ya dola bilioni 21 kulingana na tangazo katika CNN. [1] Bali na Nigeria, benki hii ina matawi nchini Ghana, Sierra Leone, Afrika ya Kusini, na Uingereza. [1]
Ilipoanzishwa | Mei 1990 |
---|---|
Net income | ₦17.2 billion |
Subsidiaries | Zenith Insurance, Zenith Pension Custodian, Zenith Securities, Zenith Bank Ghana, Zenith Bank UK, Zenith Trust Company, CyberSpace Networks |
Tovuti | www.ZenithBank.com |
Historia
haririZenith Benki ilianzishwa Mei 1990. Ilikuwa kampuni ya umma Julai 2004, na iliingia katika soko la hisa la Nigeria (NSE) tarehe 21 Oktoba mwaka huo. Pia katika mwaka wa 2004, shirika la kutathmini mikopo Fitch Ratings ilitambua mkopo wake kuwa AA-katika muda wao mrefu. [2]
Wafanyakazi
haririJim Ovia ni mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo, Godwin Emefiele ni Naibu Mkurugenzi na Petro Amangbo, Apolo lkpobe, Elias Igbin-Akenzua, na UDOM Emmanuel ni Wakurugenzi watendaji. [3] Macaulay Pepple ni mwenyekiti wa bodi.[4]
Kampuni ina jumla ya wafanyakazi 3911. [5]
Tuzo Zilizoshindwa
hariri- 2007 Benki ya Afrika wa Mwaka (ilituzwa na gazeti la African Investor) [1] [6]
- 2007 Ilitajwa kama Kampuni ya Mwaka (na Soko la Hisa la Nigeria) [1]
- Benki Kuu yenye uwajibikaji katika jamii Mwaka 2007 (tuzo kutoka gazeti la African Banker) [7]
- Benki iliyoheshimiwa zaidi nchini Nigeria mwaka 2005 (Ilituzwa na PricewaterhouseCoopers) [1]
- 2005 Benki Kuu ya Mwaka (beviljade {Ilituzwa na gazeti la The Banker) {1/}
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 Eroke, Linda. "Zenith Emerges African Bank of the Year", Thisday online, Leaders & Company, 2007-11-08. Retrieved on 2007-11-12. Archived from the original on 2007-11-12.
- ↑ "Awards & Achievements". Zenith Bank Plc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-25. Iliwekwa mnamo 2007-11-12.
- ↑ "Management Team". Zenith Bank Plc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-14. Iliwekwa mnamo 2007-11-12.
- ↑ "Chairman's Statement". Zenith Bank Plc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-13. Iliwekwa mnamo 2007-11-12.
- ↑ "Zenith Bank Plc". BusinessWeek online. McGraw-Hill. Iliwekwa mnamo 2007-11-12.
- ↑ Oladele, Ayeleso. "Zenith Bank wins African Bank of the Year award", Nigerian Tribune, African Newspapers of Nigeria, 2007-11-09. Retrieved on 2007-11-12. Archived from the original on 2007-11-11.
- ↑ Ogidan, Ade. "Nigerian banks emerge Africa's best", The Guardian, National Association of Seadogs, 2007-10-22. Retrieved on 2007-11-12.
Viungo vya nje
hariri- Tovuti ya Kampuni
- Esin, Hilda. "Zenith Bank Partners UNITeS on ICT Youth Empowerment", Thisday online, Leaders & Company, 2007-11-07. Retrieved on 2007-11-12. Archived from the original on 2007-12-16.
- Zenith Benki katika Alacrastore
- Benki ya Zenith katika Soko la Hisa la Nigeria Ilihifadhiwa 30 Septemba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Zenith kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |