Afrika ya Magharibi
Eneo la magharibi kabisa la bara la Afrika
(Elekezwa kutoka Afrika Magharibi)
Afrika ya Magharibi ni ukanda wa magharibi kwenye bara la Afrika.
Kwa kawaida huhesabiwa humo nchi zilizo kati ya jangwa la Sahara na Bahari ya Atlantiki. Upande wa mashariki ukanda huu unaishia kwenye mstari kati ya mlima Kamerun na ziwa Chad.
Katika lugha ya Kiarabu nchi za Afrika ya kaskazini-magharibi zinaitwa "Maghrib" yaani "Magharibi" lakini ni sehemu ya ukanda wa Afrika ya Kaskazini.
Ukanda wa Afrika ya Kakazini ya UM una nchi 16 zifuatazo pamoja na visiwa vya Kiingereza vya Saint Helena: