Besançon

(Elekezwa kutoka Besancon)

Besançon ndiyo mji mkuu katika mkoa la Franche-Comté. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 222,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 235-610 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Besançon






Besançon

Bendera
Besançon is located in Ufaransa
Besançon
Besançon

Mahali pa mji wa Besançon katika Ufaransa

Majiranukta: 47°14′35″N 6°01′19″E / 47.24306°N 6.02194°E / 47.24306; 6.02194
Nchi Ufaransa
Mkoa Franche-Comté
Wilaya Doubs
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 117,080
Tovuti:  www.besancon.fr
Blason ville fr Besançon (Doubs).svg

HistoriaEdit

JiografiaEdit

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Besançon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.